RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM-JONG-UN
HISTORIA FUPI YA RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM-JONG-UN MJUE KIM JONG-UN Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho ktk uzao wa Kim jog-il( raisi wa pili wa Korea Kaskazini) na kwa sasa ndo kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim jong-un anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali hasa kwa nchi za kimagharibi na hadi sasa anaimarisha nguvu za kinyuklia za korea kaskazini na anainyima usingizi marekan....Tuyajue machache yafuatayo kuhusu Kim jong-un 1 Ni general pekee duniani aliyepata cheo hicho bila uzoefu wa kijeshi.Kipaji,akili na kujituma ndo vilimfanya kuwa general licha ya kutokuwa na mafunzo wala uzoefu wowote wa masuala ya kijeshi.Labda ni kwa sbb Kim ni shupavu na jasiri wa kuzaliwa na sio wa kujifunza.Ana nyota nne begani na anapenda zana za kinyuklia kuliko zana nyingne za kijeshi 2 Pamoja na kuwa kiongozi na mk...
Comments
Post a Comment