Huyu ndo samaki mkubwa duniani Nyangumi lakini samaki hawa wamegawanyika katika makundi
tofauti ila wakiwa ni wa aina moja Ambao hatuwezi kusema ni samaki Wao Wanaitwa NYANGUMI
Nyangumi wakiwa majini huwa wanatambuana wao kwa wao na ndo mnyama mkubwa majini
HISTORIA FUPI YA RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM-JONG-UN MJUE KIM JONG-UN Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho ktk uzao wa Kim jog-il( raisi wa pili wa Korea Kaskazini) na kwa sasa ndo kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim jong-un anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali hasa kwa nchi za kimagharibi na hadi sasa anaimarisha nguvu za kinyuklia za korea kaskazini na anainyima usingizi marekan....Tuyajue machache yafuatayo kuhusu Kim jong-un 1 Ni general pekee duniani aliyepata cheo hicho bila uzoefu wa kijeshi.Kipaji,akili na kujituma ndo vilimfanya kuwa general licha ya kutokuwa na mafunzo wala uzoefu wowote wa masuala ya kijeshi.Labda ni kwa sbb Kim ni shupavu na jasiri wa kuzaliwa na sio wa kujifunza.Ana nyota nne begani na anapenda zana za kinyuklia kuliko zana nyingne za kijeshi 2 Pamoja na kuwa kiongozi na mk...
Meli ya Mv Bukoba Ikiwa Ziwa Victoria Wakati Ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. Kiukweli Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita haitoweza kusahaulika kirahisi kwenye mioyo ya watanzania na ulimwengu kote. kwani usiku wa kuamkia mei 21. 1996. Meli ya Mv Victoria ikiwa na abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37 ilizama majini kwenye ziwa victoria mwambao wa bwiru jijini mwanza ambapo ilikuwa takribani kilomita 30 kufika nchi kavu Meli ya Mv bukoba ikiwa inazama. Ripoti ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha hiyo ilieleza kuwa, kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa wamefariki na kuzikwa katika makaburi ya Igoma barabara ya Musoma, nje kidogo ya Jiji la Mwanza. Miili mingine ilichukuliwa na jamaa kuzikwa kwao. Jumla ya miili 332 haikupatikana. Kila mwaka, ifikapo Mei 21, viongozi wa dini, wa serikali na wananchi huongozana kwenda eneo la ajali kufanya kumbukumbu. Kumbukumbu ya Kuza...
Comments
Post a Comment