Posts

We Speaking

Image
Blogging has become more than just a popular means for sharing your thoughts online. For companies, blogs are an important channel for content marketing, and for business leaders, they provide an effective medium for shaping popular opinion. Blogs allow executives to demonstrate thought leadership, give their company a public face, control their image in the media, and communicate with stakeholders in a more personal and authentic way. There are more advantages than disadvantages, which I’ve outlined in full below. Getting started as a CEO blogger comes with its challenges. When you’re busy leading a company, finding the time to write can be a barrier. So too is coming up with ideas for things to write about. One of the best ways to get started, however, is by drawing inspiration from existing blogs and adapting the strategies that have worked for others. Need a jumping off point? Hearing from a CEO about an upcoming roadmap or new product release never hurts. For t...
Image
ZAMBIA  SHARES CHINA  Mchina Kutoa hisa zake Nchini Zambia Serikali Ya Zambia Iliingia mikakati na China na kuunda Hisa pamoja Katika Miradi na Biashara Nchini zambia. Rais Wa Nchini zambia Edgar lungu Kasema Anaomba radhi kwa kutokea uzembe mkubwa Wa Waziri mkuu Kuto simamia vizuri Vikao na Miundo mbinu Nchini umo Katoa Agizo La Waziri mkuu Kusimamishwa kazi kwa mdaa Mpaka uchunguzi utapo fanyika Kutokana Na yaliyojiri Nchini zambia Imesababisha pesa Yao  kwacha  Kushuka na Kuwa kiwango cha chini Zaidi  Labda nikukumbushe Kitu Kuwa nchi ya zambia na Tanzania ni nchi zilizo pakana Huko mkoani   Momba tunduma Zambian nakonde  Hali hii imepelekea pesa ya zambia Kukosa nguvu na Kuwa ya Hali ya chini Zaidi Huku dollar ikiwa imepanda kwa nguvu Na wafanya Biashara Nchini umo wamekosa kufanya shughuri zao kulingana na Hari ya kifedha Matumizi yake yakiwa ni ndani ya Tanzania na nchi mbali mbali   Leti ya mkato wa kwacha kwa Sasa ni 186 Kut...
Image
SAMAKI MKUBWA DUNIANI Huyu ndo samaki mkubwa duniani Nyangumi lakini samaki hawa wamegawanyika katika makundi tofauti ila wakiwa ni wa aina moja Ambao hatuwezi kusema ni samaki Wao Wanaitwa NYANGUMI Nyangumi wakiwa majini huwa wanatambuana wao kwa wao na ndo mnyama mkubwa majini

KUMBUKUMBU YA KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA MEI 21.1996

Image
Meli ya Mv Bukoba Ikiwa Ziwa Victoria Wakati Ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. Kiukweli Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita haitoweza kusahaulika kirahisi kwenye mioyo ya watanzania na ulimwengu kote. kwani usiku wa kuamkia mei 21. 1996. Meli ya Mv Victoria ikiwa na abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37 ilizama majini kwenye ziwa victoria mwambao wa bwiru jijini mwanza ambapo ilikuwa takribani kilomita 30 kufika nchi kavu Meli ya Mv bukoba ikiwa inazama. Ripoti ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha hiyo ilieleza kuwa, kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa wamefariki na kuzikwa katika makaburi ya Igoma barabara ya Musoma, nje kidogo ya Jiji la Mwanza. Miili mingine ilichukuliwa na jamaa kuzikwa kwao. Jumla ya miili 332 haikupatikana. Kila mwaka, ifikapo Mei 21, viongozi wa dini, wa serikali na wananchi huongozana kwenda eneo la ajali kufanya kumbukumbu.   Kumbukumbu ya Kuza...

KOREA KASKAZINI YAFUTA MKUTANO WAKE NA KOREA KUSINI GHAFLA JUU YA MAZOEZI YA MALEKANI

Image
Sambaza habari hii Facebo Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza Korea ya Kaskazini imesitisha mazungumzo yaliyotarajiwa kufanyika mapema wiki hii dhidi ya Korea ya Kusini kwa sababu ya kuchukizwa kwake na mazoezi ya kijeshi ya pamoja na Marekani. Maafisa wa shirika la habari la Korea ya Kaskazini KCNA wameeleza kuwa mazoezi hayo ni sehemu ya mazoezi ya "chuki" na kuyachukulia kama mazoezi ya uvamizi. Lakini pia kuna onyo lililotolewa na Marekani juu ya hatima ya mkutano wa kihistoria kati ya Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump ambao umepangwa tarehe 12 Juni. Kim Jong-un atishia kufuta mkutano wake na Trump Ikumbukwe kwamba katika ya mwezi wa tatu mwaka huu, Mr Trump aliushangaza ulimwengu kwa kukubali mwaliko wa kukutana na rasi Kim, na kujinasibu kuwa "Tutajaribu kuufanya mkutano wetu kuwa wa wakati wa pekee wa Amani ya Dunia!" raisi wa Marekani aliandika haya kwenye mtandao wa Twitter wakati huo ka...

RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM-JONG-UN

Image
                            HISTORIA FUPI YA RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM-JONG-UN MJUE KIM JONG-UN Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho ktk uzao wa Kim jog-il( raisi wa pili wa Korea Kaskazini) na kwa sasa ndo kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim jong-un anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali hasa kwa nchi za kimagharibi na hadi sasa anaimarisha nguvu za kinyuklia za korea kaskazini na anainyima usingizi marekan....Tuyajue machache yafuatayo kuhusu Kim jong-un 1 Ni general pekee duniani aliyepata cheo hicho bila uzoefu wa kijeshi.Kipaji,akili na kujituma ndo vilimfanya kuwa general licha ya kutokuwa na mafunzo wala uzoefu wowote wa masuala ya kijeshi.Labda ni kwa sbb Kim ni shupavu na jasiri wa kuzaliwa na sio wa kujifunza.Ana nyota nne begani na anapenda zana za kinyuklia kuliko zana nyingne za kijeshi 2 Pamoja na kuwa kiongozi na mk...